Kinole Saccos Tunatoa Huduma Mbalimbali
fika sasa sasa uweze kufaidika nasi.
Baadhi ya Huduma na matukio hai
kwa Wanachama Wetu
Misaada Mashuleni
kompyuta ( Desktop) imekabidhiwa kwa Shule ya Sekondari Kinole.
Michezo na Burudani
Kinole ipo katika nyanja mbalimbali haswaa!! Jezi za michezo zimekabidhiwa kwa timu mbili za mpira wa miguu ambazo ni Kinole FC na Tegetelo FC.
Misaada mashuleni
Madawati 80 yamekabibidhiwa kwa Shule ya Msingi Kinole na Shule ya Msingi Kalundwa
1%
Kuongezeka kwa Wanachama kwa kila mwezi
1%
Ukuaji wa Soko Kila Mwaka
1%
Biashara Inakua Kila Mwaka
1%
Wateja Wenye Furaha