KINOLE SACOS KARIBU YAKO

+255 784 228 854

Tufuatilie :
WhatsApp-Image-2025-02-11-at-13.44.03_30307140-e1745589993949
Kinole Saccos 

Huduma
Home » Huduma

Kinole Saccos Tunatoa Huduma Mbalimbali  

fika sasa sasa uweze kufaidika nasi.

Akiba
Huduma inayowezesha wanachama kuhifadhi pesa kwa malengo ya dharura au baadaye.
Amana
Huduma ya kuweka pesa kwa usalama huku wanachama wakipata faida kidogo kama motisha.
Kupokea hisa za Uanachama
Wanachama wanaruhusiwa kununua hisa za uanachama ili kuwa sehemu ya umiliki wa taasisi na kushiriki faida za kifedha.
Mkopo wa dharula
Huduma ya mkopo kwa wanachama wanaokabiliwa na hali za dharura za haraka, ili kusaidia kupunguza changamoto
Mkopo wa elimu
Mkopo wa kusaidia kugharamia masomo ya wanachama au wanafamilia wao, kuanzia elimu ya msingi hadi ya juu.
Mkopo wa kilimo
Mkopo huu unalenga kusaidia wakulima katika kukuza uzalishaji wa mazao na maendeleo ya kilimo.

Baadhi ya Huduma na matukio hai 

kwa Wanachama Wetu

4
Misaada Mashuleni

kompyuta ( Desktop) imekabidhiwa kwa Shule ya Sekondari Kinole.

michezo
Michezo na Burudani

Kinole ipo katika nyanja mbalimbali haswaa!! Jezi za michezo zimekabidhiwa kwa timu mbili za mpira wa miguu ambazo ni Kinole FC na Tegetelo FC.

mashulei
Misaada mashuleni

Madawati 80 yamekabibidhiwa kwa Shule ya Msingi Kinole na Shule ya Msingi Kalundwa

1%
Kuongezeka kwa Wanachama kwa kila mwezi
1%
Ukuaji wa Soko Kila Mwaka
1%
Biashara Inakua Kila Mwaka
1%
Wateja Wenye Furaha

Tunatoa Huduma 

iliyo bora na uhakika karibu yako.