Anza leo, wekeza na pia kuza Biashara yako nasi.
Kinole SACCOS ni taasisi ya kuweka na kukopa iliyosajiliwa kisheria, inayojishughulisha na utoaji wa huduma za kifedha kwa wanachama wake ili kuwawezesha kiuchumi. Tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 25, tumekuwa daraja la mafanikio kwa watu binafsi, vikundi na wafanyabiashara kwa kuwapatia mikopo nafuu, huduma za ushauri wa kifedha, na uwezeshaji wa miradi ya maendeleo. Tunaamini katika uwazi, ushirikiano na maendeleo jumuishi ya wanachama wetu. Jiunge nasi leo – tunakupa nguvu ya kukua kifedha!
Anza na endelea kilimo na Biashara yako nasi.
Kinole SACCOS ni taasisi ya kifedha ya kijamii iliyoko Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 2001. Inatoa huduma za mikopo, akiba, amana, na hisa kwa wanachama wake ili kuboresha hali za kifedha za jamii.
Mikopo ya kilimo
Uwekaji wa Amana
Uwekezaji